KISONGO ACADEMIC COLLEGE

 

 

JOINING INSTRUCTION:

 

 

 

MAAGIZO YA KUJIUNGA NA SHULE MWAKA 2012;

( Kac secondary school namba ya shule ya usajili ni S.4180 na Senta namba ya mitihani ya kitaifa ya (NECTA) ni S.4154.)

 

Kwa niaba ya wanajumuiya wote wa shule na kwa niaba yangu binafsi nakupongeza kwa nia yako ya kujiunga na Kac secondary School  kwa masomo ya Sekondari ,O’Level na A’Level  kwa kipindi cha miaka minne/Sita  kuanzia tarehe 10/01/2012. Kama utafanikiwa kuchaguliwa na kujiunga nasi, basi maagizo yafuatayo yatakueleza mambo muhimu kama:

 

1.0    Kufika shuleni:

1.1    Unatakiwa kuripoti shuleni tarehe 10/01/2012 bila kukosa , kwa wanafunzi wote wa bweni kabla ya saa kumi na moja jioni.

1.2   Shule yetu ipo kilomita 13 kutoka mjini Arusha.Ufikapo stendi ya mabasi Arusha ulizia mabasi yaendayo Kisongo stendi unapaswa kumkumbusha kondakta akushushie kisongo stendi ,hapo utaona kibao kinachokuelekeza njia ya miguu ya kufika (kac secondary School), nauli ni T.sh 400 mtu mzima na mwana funzi ni Tsh.200 kutoka mjini.

1.3 Ikiwa unaikubali nafasi hii itakubidi kujaza fomu ya ahadi, mwanafunzi Mzazi /Mlezi (SP-22) iliyoambatanishwa na kurudisha shuleni mapema. Kisha ulipe ada inayotakiwa kabla ya kuanza masomo. ADA IKISHALIPWA HAIRUDISHWI WALA HAIWEZEKANI KUHAMISHIWA KWA MWANAFUNZI MWINGINE.

1.4   Unatakiwa kuripoti shuleni kwa muda usiozidi wiki moja (Siku 7)Kuanzia tarehe ya kufungua shule iliyotajwa hapo juu.Baada ya muda wa kuripoti shuleni kupita nafasi yako itatolewa kwa mwanafunzi mwingine.

 

2.0 Mihula

2.1 Mihula ya mwaka 2012. Shule itakuwa na mihula mitatu kwa mwaka 2012

(i)  Muhula wa kwanza 2012 utaanza tarehe 11/01/2012 hadi tarehe 11/04/2012

(ii)  Muhula wa pili utaanza tarehe 21/04/2012   hadi 31/07/2012

(iii)  Muhula wa tatu utaanza tarehe  01/09/2012 hadi  03/12/2012

 

2.2   Mapumziko ya shule 2012

(i)Siku zote za sikukuu zinazotambulika KITAIFA

2.3   Likizo za wanafunzi

(i)Tarehe 11/04/2012 hadi  21/04/2012

(ii)Tarehe 31/07/2012 hadi  1/09/2012

(iii)Tarehe  3/12/2012 hadi  10/01/2012

 

3.0              ADA

 

KWA MAELEZO ZAIDI SOMA UKURASA NAMBA 7.

3.2 Wanafunzi wa kutwa:- (KIKE +KIUME) HATUPOKEI WANAFUNZI WA KUTWA .

 

3.3 Ada ya tahadhari(caution money) .

Tshs 30,000/= Italipwa na kila mwanafunzi mara tu atakaporipoti shule na kiasi hiki hakirudishwa pale mwanafunzi amalizapo shule .

3.3.1 Kila mwanafunzi atalazimika kuchangia vitabu viwili vya Secondary kwa mwaka,

Wastani wa (T.sh 13,000) ili kuidumisha maktaba ya shule.Mchango huu ni kwa muhula wa kwanza na wa pili tu.

3.4 Kinga ya vitabu Tshs 15,000/= Italipwa na wanafunzi wote kiwango hichi kitarudishwa pale mwanafunzi anapohama,au kumaliza kidato cha nne,hii ni kuzuia uharibifu,na wizi wa vitabu vya maktaba.

3.5.  Kartasi  kumi (10) za  chooni ‘Toilet paper’ kwa mwaka kila mwanafunzi anahitajika kuwasilisha shuleni muhula unapoanza Januari.

 

4.0  Ulipaji wa Ada:

Mzazi/Mlezi unashauriwa usilete fedha taslimu za ada shuleni. Ada ya shule  ilipiwe  kupitia Benki kama ifuatavyo:-

4.1  Kwa wale Wazazi/Walezi walioko Arusha Tafadhali lipa Kenya Commercial Bank (T) Ltd iliyoko Arusha karibu na Kanisa la kiinjili la kilutheri mjini kati akaunti namba No.0221700181 Wale wa Dar es Salaam walipie  Kenya Commercial  Bank (T) Ltd Uhuru road.

4.2 Wale wa Mwanza walipie  Kenya Commercial Bank (T) Ltd Mwanza

Co-operative Union Building. Pia kumbuka kuandika jina la mwanafunzi na namba yake ya usajili ya shule.

5.0 Wazazi/Walezi wenye wanafunzi wa bweni wanashauriwa kuwapa watoto wao fedha kiasi cha matumizi kama kununua sabuni,kalamu,dawa ya meno n.k.Wanafunzi wote wanashauriwa kuweka fedha zao za matumizi katika Ofisi ya Msarifu wa shule. Ni marufuku mwanafunzi kuweka fedha zake za matumizi bwenini,shule haitahusika na upotevu wowote.

6.0  Vitambulisho/Nembo

6.1   Kila mwanafunzi anapaswa kuwakilisha Tshs 2000/= kwa ajili ya kitambulisho cha uanafunzi.

6.2  Aidha ni lazima apigwe picha za passport size akiwa amevaa sare ya shule kwa ajili ya kumbukumbu za Ofisi. Picha hizo zitapigwa bure shuleni.

6.3  Pia kila mwanafunzi alipie nembo tatu (3) kwa ajili ya Nembo za shule pamoja na tai ya shule. Zote ni kwa Tshs 2000/=

 

 

 

7.0  Chakula

Chakula kitatolewa kwa wanafunzi wote , na chakula kikuu kitakuwa ugali, wali, makande na maharagwe kama kuna mabadiliko, basi ratiba ya chakula  itatolewa siku za jumatatu, kwa wiki yenye mabadiliko. Hali itakoporuhusu matunda ya msimu yatatolewa wakati wa chakula cha mchana au jioni.

8.0  Tovuti – Website.(http:// www.kisongocollege.com)

Tovuti ya shule itakuwa ni chombo muhimu cha kuitangaza shule, kutoa elimu, matangazo na maelekezo mengine muhimu ya shule.Kila mwanajumuiya wa shule atapata anuani binafsi ya –email katika tovuti hiyo.

 

9.0  Vifaa vya  darasani:

-Daftari kubwa zisizopungua 12,vifaa vya hisabati;Mathematical Set,’English Dictionary’ au kamusi ya kiingereza, mathematical log book.

-Kalamu za wino na rangi (pencil) za kutosha , rula , na vifaa vingine  muhimu.

 

10.0  Kuhudhuria Masomo:

Kila mwanafunzi anatakiwa kuhudhuria vipindi vya masomo yote yanayotolewa shuleni na kufanya mazoezi darasani na mitihani yote.Wanafunzi watakaoshwindwa kufuata sharti hili watarudishwa nyumbani.

 

11.0 Mahitaji/maelezo binafsi:

11.1 Mavazi nadhifu na ya heshima yanayoendana na hadhi ya mwanafunzi wa sekondari,shule inayo sare rasmi ambayo hushonwa hapa shuleni.

Sare ya michezo:- wavulana – Bukta rangi ya bluu na T-shirt.Wasichana

kigauni na bukta (P.T shorts)rangi ya bluu na T – shirt. Wote raba au

viatu vya michezo na socks (Stockings)  rangi ya bluu.

11.2 Kwa wanafunzi wa bweni wanahitaji vazi la baada ya shule nalo

hushonwa shuleni. ZINGATIA: Nguo za shule zisizo rasmi ni marufuku

shuleni, kwa siku yoyote na wakati wowote, epuka usumbufu usilete nguo

hizo kabisa.

11.3  Viatu vyeusi vya kudumbukiza kwa wasichana na wavulana viatu vyeusi

Pia.

11.4  Vifaa vya kulalia: Godoro la kawaida futi 3 urefu, na kina inchi 4 Shuka

2 na chandarua cha kujikinga na mbu pamoja na blanketi . kumbuka kuwa

Arusha ni baridi majira ya jioni.

11.5  Vifaa vya chakula:Sahani, kijiko, na bakuli,

tafadhali mwanao aje na kiasi cha Tsh.4000 ili vyombo hivyo avipate hapa shuleni.

11.6  Picha passport size 3 zitapigwa shuleni bure.

11.7 Vifaa vya kazi za kuboresha mazingira: ndoo 1 ya ujazo wa lita 20,

jembe,slesha.

11.8  Kamusi ya ki-ngereza,[Oxford Dictionary],na ya Ki-swahili, ukipata na

ya ki-faranza ni  Vyema sana.

11.9   Rimu nzima ya kartasi nyeupe ya [Top Kopie -A4]. Moja kila muhula.

12.0 Afya

12.1 Unalazimika kupimwa na daktari katika hospitali  yoyote ya   Serikali  utokako  Kuthibitisha afya yako ya kumudu masomo haya.

Nimeambatanisha fomu   (MED/CERT -21) ya kupimwa utakayoiwasilisha

shuleni wakati wa kuripoti.

12.2 Shule haitoi chakula maalum (Special diet) kabisa.

12.3 Shule itatoa matibabu ya huduma ya kwanza matatizo yote ya dharura

katika  Zahanati ya Serikali Kata ya Kisongo na Seliani zote za Kisongo

na wazazi wataarifiwa ili kuchangia.

 

13.0 Tahadhari

13.1 Uje na sanduku imara  kwa ajili ya kuhifadhi nguo na mali zako nyingine kwa  wanafunzi wa bweni.

13.2 Huruhusiwi kuja shuleni na vitu vya dhamani kubwa mfano; Simu ya mkononi fedha nyingi n.k

13.3 Uje na anuani kamili ya mzazi./mlezi wako. Iwapo unaye ndugu karibu na shuleni utoe taarifa mapema.

13.4 Uje na fomu hii ukiwa umeambatanisha (i) cheti halisi (Original) cha shule ya msingi.

13.5 Usije shuleni bila cheti hicho kwani hautasajiliwa.

13.6 Shule ina kanuni na sheria ambazo unapaswa kuzielewa na kuzifuata zimeambatanishwa na fomu hii.

13.7 Kama unakubaliana na maelezo yaliyomo kwenye taarifa hii , na sheria za shule kuanzia 12.1 – 12.25. Jaza fomu iliyoambatanishwa na maagizo haya kisha uirudishe shuleni; Itachukuliwa kuwa umeikataa nafasi ya kujiunga na shule hii uliyopewa usipokuja nayo.

 

 

 

15.0 TOKA SHULENI

15.1  Taswira ya KAC  ni wito kwa serikali,wananchi wote na wadau wote wa

maendeleo kuwekeza kwenye Elimu bora kwa akili, mali na muda.Kwa wanafunzi

tumia muda vizuri ili ufikie tegemeo na maono (vision).

15.2 Pamoja na maagizo haya ya kujiunga na shule,tunaambatanisha fomu ya

maelezo yako binafsi (SP-19) ambayo unatakiwa kujaza  na kurudisha shuleni

kabla   ya siku ya mtihani wa kundi la mwisho wa kujiunga na shule ni tarehe

10.January.2012. Uiambatanishe na file itakayohifathiwa ofisini

15.2 Jumuiya  ya shule kwa ujumla inakutakia safari njema kuja shule na pia

inakutakia maisha mema na ya mafanikio hapa  Kac Secondary School.

 

 

Eng. Calvin Marealle,

Meneja na Mkurugenzi.

(Kac Secondary School)

 

 REQUIREMENTS

MUHULA WA KWANZA (1);  2012

   ADA WANAFUNZI WA KIKE:

Wanafunzi wa  Bweni:-(KIKE)  

  

Muhula I: 2012             

TICK

280,000

ADA WANAFUNZI WA KIUME:

Wanafunzi wa Bweni:-(KIUME) 

 

 Muhula I: 2012    

           

TICK

280,000

           Sare :-(  KIKE)

Skati na Shati           Tsh.        24 ,000

Sweta, Tai                 Tsh.        20,000

 Casual Dress             Tsh.       12,000

 ’Track suit’               Tsh.       35,000

 

Jumla                Tsh.    91,000

91,000

Sare:-(KIUME)

Suruali na shati          Tsh.   24,000

Sweta , Tai                Tsh.    20,000

Casual  Wear             Tsh.   12,000

‘Track Suit’               Tsh.   35,000

 

Jumla              Tsh.   91,000

 

91,000

 

Mchango wa chakula Kwa kila muhula.     

 

50,000

 

Mchango wa chakula Kwa kila muhula.   

 

50,000

Ada ya tahadhari(caution money)

 

30,000

Ada ya tahadhari(caution money)

 

30,000

Kinga ya vitabu

15,000

Kinga ya vitabu

 

15,000

Tsh 13,000 au  vitabu viwili  vya masomo ya sekondari kwa mwaka.

13,000

Tsh 13,000 au  vitabu viwili  vya masomo ya sekondari kwa mwaka.

13,000

Vyombo vya Chakula

4,000

Vyombo vya Chakula

4,000

Kartasi  kumi (10) za  chooni ‘Toilet paper’ kwa mwaka,

 

3,000

Kartasi  kumi (10) za  chooni ‘Toilet paper’ kwa mwaka,

 

3,000

Vitambulisho vya shule

 

2,000

Vitambulisho vya shule

 

2,000

Nembo  kwa ajili ya kuweka  Nembo za shule kwenye sare za shule

 

2,000

 

Nembo  kwa ajili ya kuweka  Nembo za shule kwenye sare za shule

 

2,000

 

 

JUMLA

 

490,000

 

JUMLA

 

490,000

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

MUHULA WA KWANZA (1)

490,000

MUHULA WA PILI (2)

330,000

MUHULA WA TATU (3)

330,000

JUMLA KWA MWAKA

1,150,000

 

 

 

 

 

MUHULA WA 2 (PILI); 2012

   ADA WANAFUNZI WA KIKE:

Wanafunzi wa  Bweni:-(KIKE)     

Muhula II: 2012      

TICK

 

280,000

ADA WANAFUNZI WA KIUME:

Wanafunzi wa Bweni:-(KIUME)   

 Muhula II: 2012   

TICK

 

280,000

Mchango wa chakula

50,000

Mchango wa chakula

50,000

 

JUMLA

 

330,000

 

JUMLA

 

330,000

MUHULA WA 3 (TATU) 2012

   ADA WANAFUNZI WA KIKE:

Wanafunzi wa  Bweni:-(KIKE)     

Muhula II: 2012       

TICK

 

280,000

ADA WANAFUNZI WA KIUME:

Wanafunzi wa Bweni:-(KIUME)   

 Muhula II: 2012       

TICK

 

280,000

Mchango wa chakula

50,000

Mchango wa chakula

50,000

 

JUMLA

 

330,000

 

JUMLA

 

330,000

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

ADMISSION REGISTRATION FORM STUDENT PRIVATE INFORMATION FORM (SP- 19).

SECTION A: INFORMATION ABOUT A STUDENT SEEKING FOR ADMISSION.

1. Names:

Family

First

Middle

 

 

 

Date

Month

Year

Village

District

Region

 

 

 

 

 

 

 

 

2. Birth Particulars:

3.  SECTION B: ACADEMIC PERFOMANCE:

3. 1. Previous School Attended:

Last Class Attended

Previous  Level

 

 

 

 

 

 

4. Examination, Subjects, And Results Obtained:

4.1. Last Examination held.

Type

Term/Semester/End

Year

Region

 

 

 

 

4.2. Subjects and Results:

S/N

Subjects

Results

S/N

Subjects

Results

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

4.3 Results slip attached No._______________________of:____________________or previous school original results form of_________________________________

4.4. Academic recommendation letter from the previous school dated________________________

No.4.1 to 4.3 all forms slips to be attached

NOTE THESE:

SECTION B: HOME INFORMATION:

1.     Father’s Name :-________________________________________________

Address     

P.O Box: _________________________________________________                 Telephone:________________________________________________

 Mobile:___________________________________________________

 E-Mail:____________________________________________________

Place Of Residence:-___________________________________________

Occuption:-__________________________________________________

 

2.      Mother’s Name:______________________________________________

Address     

P.O Box: __________________________________________________

Telephone:________________________________________________                            Mobile:____________________________________________________

E-Mail:__________________________________________________

Place of Residence:-____________________________________________

Occuption:-__________________________________________________

3.        Who is going to pay for your school fees at this college?

HIS/HER NAME:   _______________________________________________

 Address   

P.O Box:_____________________________________________________

Telephone:___________________________________________________                   Mobile:______________________________________________________

     E-mail:______________________________________________________

3.1.  What is your relationship with HIM/HER? __________________________

3.2.  Parent/Guardian Statement:

The above information No.5.0, 5.1, and 5.2 is correct and its my statement.

Signed by: Name_________________________________________________________

           Signature: _______________________   Date:___________________

 

 

 

 

              _ADMIN.REG FORM /SP FORM NO …………… /PRIVATE  INFORMATION

 

4.      Student’s  Representative:

       The above information and Documents are given by me, and  I declare that  all  is  true.

      Name: _______________________________________________

Signature:____________________ Date:_____________________

4.1.  Is your Child suffering from any addicted illness?

Yes,Which_____________________________No._________________________     4.0. NEXT OF KIN/REPRESENTATIVE:

               Name: ___________________________________          

P.o Box:_____________________________________ Telephone:_________________________________________            Mobile:___________________________________              Relationship:_______________________________

            N.B.  In any case at the school your next of Kin should represent your parents/Guardian and not 

            Any other person.

 ______________________________________________

 

 ADMIN.REG FORM /SP FORM NO …………… /PRIVATE  INFORMATION

 

4.2.  i) Registration Form No:-________________________________________________________

       ii)  Entry Examination No:- _______________________________________________________

       iii) Date of Entry Examination: -     __________________________________________________

4.2. Total marks scored.

S/N

Subject

Score

Out of

position

comments

1.

 

 

 

 

 

2.

 

 

 

 

 

3.

 

 

 

 

 

4.

 

 

 

 

 

5.

 

 

 

 

 

6.

 

 

 

 

 

7.

 

 

 

 

 

8.

 

 

 

 

 

9.

 

 

 

 

 

10.

 

 

 

 

 

11.

 

 

 

 

 

12.

 

 

 

 

 

13.

 

 

 

 

 

14.

 

 

 

 

 

TOTAL

 

 

 

 

 

                 

4.3. EXAMINATION COMMITTEE:

4.3.1. Selected /Not Selected

4.3.2 Admission granted /Not Granted.

4.3.3 Admission No.  2010/Kac/__________________________

4.3.4. Conditions if any:

 

ADMIN.REG FORM /SP FORM NO …………… /PRIVATE INFORMATION

 

 

 

 

 

 

 

 

KISONGO ACADEMIC COLLGE 2008